Katiba

Katiba ya Jumuiya

Toleo Lililopangwa Upya — 2026

Hii ni Katiba ya JZQT iliyopangwa upya kwa uwazi zaidi — ikibeba misingi ya kudumu tu ya Jumuiya (jina, ofisi, uanachama, madhumuni, muundo na madaraka ya viongozi, misingi ya fedha, na utaratibu wa marekebisho). Hakuna kifungu chochote cha Katiba ya asili kilichofutwa; maudhui ya kihistoria/kidini na taratibu za uendeshaji wa kila siku yamewekwa kwenye hati nyingine zinazotayarishwa.

Pakua Katiba (PDF)