Blog na Habari
Makala na Taarifa za Jumuiya
Habari
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akutana na Uongozi wa JZQT Ikulu Zanzibar
04 Aug 2026
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana Ikulu Zanzibar na ujumbe wa viongozi wa JZQT ukiongozwa na Mlezi wao mpya, Sheikh Ali Juma Mpwani, wakiambatana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar.
Soma Zaidi
Habari
Kumtambulisha Mlezi Mpya wa JZQT: Sheikh Ali Juma Mpwani Alqadiriy
19 Jul 2026
JZQT inafuraha kumtambulisha rasmi Sheikh Ali Juma Mpwani Alqadiriy kama Mlezi mpya wa Jumuiya.
Soma Zaidi
Habari
Taarifa ya Msiba: Kuondokewa na Mlezi Sheikh Sayyid Othman bin Abdulqadir Albarawiy Alqadiriy
19 Jun 2026
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un. JZQT inatangaza kuondokewa na Sheikh Mlezi wetu mpendwa, Marehemu Sheikh Sayyid Othman bin Abdulqadir Albarawiy Alqadiriy.
Soma Zaidi