Kalenda ya Kiislamu ya JZQT
Hadhara, Maulidi, Itikafu, Eid na matukio mengine ya Jumuiya - Mwaka 1448H (2026-2027)
Muharram 1448H
Mwaka Mpya wa Kiislamu - Dua ya Mwaka Mpya
17 Jun 2026
Mazawiya yote (Mapumziko Madrasa)
Siku ya Tasu'a na Ashuraa (Swaumu Sunna)
25 Jun 2026 – 26 Jun 2026
Mazawiya yote
Hadhara ya Sheikh Muhammad bin Nassor El Qadiry (R.A)
26 Jun 2026 – 28 Jun 2026
Dar es Salaam
Kumbukumbu ya Kifo cha Sheikh Muhammad bin Nassor El Qadiry (R.A)
29 Jun 2026
Hadhara ya Sheikh Muhammad Nassor El Qadiry (R.A)
03 Jul 2026 – 05 Jul 2026
Zanzibar
Hadhara ya Sheikh Muhammad Nassor El Qadiry (R.A)
10 Jul 2026 – 12 Jul 2026
Pemba
Hadhara ya Sheikh Suleiman bin Alawiy (R.A)
10 Jul 2026
Buguruni
Kumbukumbu ya Kifo cha Sheikh Suleiman bin Alawiy (R.A)
12 Jul 2026
Hadhara Fujoni, Zanzibar
Swafar 1448H
Hadhara
18 Jul 2026
Qashi
Hadhara ya Shk. Muhammad Nassor (R.A)
19 Jul 2026
Bukulu
Hadhara
20 Jul 2026
Kondoa Mjini
Hadhara ya Bi Amda, Mama yake Sheikh Muhammad Nassor (R.A)
21 Jul 2026
Mburahati
Hadhara
22 Jul 2026
Mafunchi
Hadhara
23 Jul 2026
Thawi njia panda
Hadhara
24 Jul 2026
Thawi Bolo
Hadhara
25 Jul 2026
Sirop
Hadhara
27 Jul 2026
Endasaki
Hadhara
28 Jul 2026
Ndundu-Kivukoni Rufiji na Bagamoyo Mjini
Hadhara ya Shekhe Muhammad Nassor (R.A)
29 Jul 2026
Babati
Hadhara ya Sayyid Abdulkadir Jaylaniy (K.S.A)
30 Jul 2026
Arusha
Hadhara
01 Aug 2026
Moshi
Hadhara
02 Aug 2026
Kiruani
Hadhara
03 Aug 2026
Kihurio
Hadhara
03 Aug 2026
Mwananyamala Kisiwani, Dar es Salaam
Hadhara ya Sheikh Sufi (R.A)
08 Aug 2026
Chamwino-Morogoro
Rabiul Awwal 1448H
Hadhara ya Sayyid Othman
15 Aug 2026
Kisiju
Hadhara ya Sheikh Nasibu wa Bao, Mgeni Haji
19 Aug 2026
Zanzibar
Maulidi ya Bwana Mtume (S.A.W)
20 Aug 2026
Kilwa Mandawa
Maulidi ya Bwana Mtume (S.A.W)
24 Aug 2026
Kilwa Kivinje na Kibaha
Maulidi ya Bwana Mtume (S.A.W)
25 Aug 2026
Msikiti Ngamia, Baladul Amin - Zanzibar
Maulidi ya Bwana Mtume (S.A.W)
26 Aug 2026
Kigoma
Maulidi ya Bwana Mtume (S.A.W)
28 Aug 2026
Mlandizi
Maulidi ya Bwana Mtume (S.A.W)
29 Aug 2026
Tabora
Hadhara ya Sheikh Uwesu (R.A)
31 Aug 2026
Musoma
Hadhara ya Sheikh Uwesu bin Ahmad (R.A)
04 Sep 2026
Matemanga-Tunduru
Maulidi ya Bwana Mtume (S.A.W)
04 Sep 2026
Mwanza
Hadhara ya Sheikh Uwesu bin Ahmad (R.A)
05 Sep 2026
Mburahati-Dar es Salaam na Fuoni-Zanzibar
Maulidi ya Bwana Mtume (S.A.W)
07 Sep 2026
Dodoma
Rabiu Thani 1448H
Hadhara kwa Sheikh Ali Omar
15 Sep 2026
Mkamba
Hadhara ya Shekhe Juma Ibrahim Mtale
20 Sep 2026
Dar es Salaam
Hadhara ya Sayyid Abdulkadir Jailaniy (K.S.A)
24 Sep 2026
Kinondoni, Kipera-Morogoro, Tunduru Mjini na Baladul Amin-Zanzibar
Hadhara ya Sayyid Abdulkadir Jailaniy (K.S.A)
25 Sep 2026
Tanga kwa Msisi na Chupwe-Pemba
Hadhara ya Sayyid Abdulkadir Jailaniy (K.S.A)
29 Sep 2026
Ikwiriri Rufiji na kwa Sheikhe Yussuf Khatib-Zanzibar
Ziara kuu ya Sayyid Abdulkadir Jailaniy (K.S.A)
02 Oct 2026
Kinondoni, Tunduru na Arusha
Hadhara ya Sheikhe Abdalla bin Hamad El Qadiry (R.A)
06 Oct 2026
Binga na Kisiju-Tabora
Hadhara ya Sheikhe Abdalla bin Hamad El Qadiry (R.A)
10 Oct 2026
Chumbuni-Zanzibar na Kigamboni
Jumadal Awwal 1448H
Hadhara ya Shk. Muhammad Nassor Abdulla El Qadiry (R.A)
18 Oct 2026
Singida Mjini
Hadhara
19 Oct 2026
Kijijini Diagwa
Hadhara
20 Oct 2026
Mwakiti/Mvae
Hadhara
21 Oct 2026
Kititimo
Hadhara
22 Oct 2026
Ikungi
Hadhara
23 Oct 2026
Unyankindi
Hadhara
24 Oct 2026
Sepuka
Ziara Zanzibar
25 Oct 2026
Hadhara ya Shk. Mussa bin Kassim
27 Oct 2026
Makunduchi-Zanzibar
Hadhara ya Sheikh Almas (R.A)
29 Oct 2026
Kisanakani-Zanzibar
Hadhara ya Shk. Abdalla bin Hamad
30 Oct 2026
Mombasa, Lamu, Pate na Malindi
Jumada Thaniy 1448H
Hadhara
18 Nov 2026
Mlingano Tanga
Hadhara ya Sayyidina Abubakar (R.A)
20 Nov 2026
Tandika
Hadhara ya Sayyidina Abubakar (R.A)
22 Nov 2026
Kirare, Tanga
Hadhara ya Shk. Mussa bin Uwesu
26 Nov 2026
Mbutu Kigamboni
Hadhara ya Sayyidina Abubakar (R.A)
27 Nov 2026
Potoa, Zanzibar
Hadhara ya Mawalii wote
03 Dec 2026
Kibaha
Rajab 1448H
Hadhara ya Sheikhe Muhammad bin Nassor Abdulla El Qadiry (R.A)
15 Dec 2026
Marendego
Hadhara ya Sayyid Twaib
16 Dec 2026
Miteja kwa Masharifu
Hadhara ya Imamu Shafi (R.A)
17 Dec 2026
Kilwa Mandawa
Hadhara ya Shekhe Shego bin Uwesu (R.A)
18 Dec 2026
Kinondoni
Hadhara ya Sayyid A'qadir Jailaniy (K.S.A)
19 Dec 2026
Kilwa Masoko
Hadhara ya Shk. Omar Farhani
21 Dec 2026
Kilwa Kivinje
Hadhara
22 Dec 2026
Kilwa Singino
Hadhara ya Mazawiya yote, Sayyid Ahmad
24 Dec 2026
Kilwa Pande
Hadhara ya Sayyid Salmin bin Said
31 Dec 2026
Baladul Amin, Mburahati-Dar es Salaam
Hadhara ya Imamu Shafi (R.A)
08 Jan 2027
Keko, Dar es Salaam
Shaaban 1448H
Ziara ya Sayyid Othman bin Sayyid Muhammad (R.A)
19 Jan 2027
Tunduni, Zanzibar
Ziara ya Sayyid Othman bin Sayyid Muhammad (R.A)
20 Jan 2027
Chambani-Pemba
Kuadhimisha Nisfu Shaabani (Mwezi 15 Shaabani)
22 Jan 2027
Mazawiya yote
Hadhara ya Sayyid Hassan (Mtume Chimo)
25 Jan 2027
Mkamba Mburani
Hadhara kwa Sheikh Ismail Jumaa-Mpafu
01 Feb 2027
Kisiju
Kuzaliwa Sayyid Abdulkadir Jailani (K.S.A)
05 Feb 2027
Tandale
Kuzaliwa Sayyid Abdulkadir Jailani (K.S.A)
06 Feb 2027
Kilwa Kivinje, Msikiti wa Jamhuri-Dodoma na kwa Shk Yussuf bin Khatibu-Bega Moja-Zanzibar
Ramadhan 1448H
Kuftari kwa Shekhe Muhammad bin Nassor El Qadiry (R.A)
17 Feb 2027
Manzese, Dar es Salaam
Kuadhimisha Badri
23 Feb 2027
Kigamboni-Dar es Salaam
Kuadhimisha Badri
24 Feb 2027
Mwananyamala-Dar es Salaam
Ibada ya Itikafu
27 Feb 2027 – 09 Mar 2027
Mazawiya (Misikiti) yote yanayokaliwa Itikafu
Hadhara ya Sayyidna Ali (R.A)
28 Feb 2027
Itikafu zote
Hadhara ya Shekhe Muhammad Nassor (R.A)
02 Mar 2027
Itikafu zote
Dua ya Wazee wa Shk. Muhammad Nassor (R.A) na Mashekhe wote
03 Mar 2027
Itikafu zote
Dua ya kuwaombea wachangiaji wa Itikafu
04 Mar 2027
Itikafu zote
Kuhuwisha Lailatul Qadir
05 Mar 2027
Itikafu zote
Dua ya kuwaombea wakaaji wa Itikafu
07 Mar 2027
Itikafu zote
Kuhuwisha usiku wa mwisho wa Ramadhani na Kikao cha Kiongozi wa Itikafu na Kamati
09 Mar 2027
Itikafu zote
Shawwal 1448H
EIDIL FITRI - pamoja na kuwasilisha Ripoti za Itikafu, Tawi, Kanda
10 Mar 2027
Mazawiya yote
Funga za Sunna "Sita"
11 Mar 2027 – 16 Mar 2027
Hadhara
16 Mar 2027
Kokobo-Kisiju
Kuwasilisha Ripoti zote za Itikafu
07 Apr 2027
Makao Makuu Dar es Salaam
Dhul Qaada 1448H
Funga za Sunna za Dhulqaada
09 Apr 2027 – 15 Apr 2027
Hadhara
06 May 2027
Bukoba na Masaka-Kagera
Dhul Hijja 1448H
Kuhuwisha usiku wa mwezi 8 - kuwarehemu masheikh wote
14 May 2027
Mazawiya yote
Kuhuwisha Yaumu Tarwiya
15 May 2027
Kila Zawiya
Kuhuwisha usiku wa Arafa na kufunga mchana wake; kuamkia Eidi Adh-ha
16 May 2027
Mazawiya yote
EIDI ADH-HA
17 May 2027
Mazawiya yote
Hadhara
17 May 2027
Jinja na Soroti-Uganda
Hadhara ya kuwaombea Muridi waliofariki
20 May 2027
Tawi, Kanda na Vituo vyote vya Jumuiya
Hadhara ya Sayyidna Othman bin Affan (R.A)
24 May 2027
kwa Shk. Ali Mpita-Manzese, Dar es Salaam
Tarehe ya Hadhara ya Sayyidna Omar bin Khatwab (R.A)
30 May 2027
Meli Nne-Uzi, Zanzibar
Hadhara ya Sayyidna Omar bin Khatwab (R.A)
05 Jun 2027
Mbagala kwa Shk. Abdalla (R.A)