1992
Mwaka wa Kusajiliwa Rasmi
200+
Misikiti na Mazawiya
400+
Vyuo vya Qur'ani
26
Mikoa ya Tanzania
Kumjua Mola wetu na kupata radhi zake kupitia malezi ya Twariqa.
JZQT ni Nini?
Jumuiya Zawiyatul Qadiriya Tanzania (JZQT) ni Jumuiya ya Kidini iliyosajiliwa nchini Tanzania, inayofuata Twariqatul Qadiriya. Tangu tulipoanzishwa, tumejikita katika kuhifadhi na kueneza mafundisho ya Kiislamu kama yalivyopokelewa kupitia Qur'ani na Sunna, tukisimamia Misikiti, Mazawiya na Vyuo vya kufundishia Qur'ani na malezi ya Ki-Twariqa katika mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara, Unguja na Pemba.
Kupitia tovuti hii unaweza:
Kujiunga kuwa Mwanachama
Kufuatilia Habari na Matukio
Kusoma Vitabu na Kusikiliza Darsa
Kuchangia Miradi ya Jumuiya
Unaweza Kufanya Nini Hapa?
Historia ya JZQT
Kuanzia jitihada za mwanzo hadi Jumuiya inayotambulika nchini kote.
Jitihada za mwanzo za kuianzisha Jumuiya zaanza.
Usajili wa awali Arusha kwa jina "Masjid Zawiya El-Qadiriya".
Usajili rasmi na Wizara ya Mambo ya Ndani (S.O.7168).
Mkutano Mkuu Arusha wabadilisha jina kuwa JZQT.
Usajili wa mwisho wakamilika na Jumuiya yatambulika rasmi.
Taarifa Mpya
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akutana na Uongozi wa JZQT Ikulu Zanzibar
04 Aug 2026
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana Ikulu Zanzibar na ujumbe wa viongozi wa JZQT ukiongozwa na Mlezi wao mpya, Sheikh Ali Juma Mpwani, wakiambatana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar.
Soma ZaidiKumtambulisha Mlezi Mpya wa JZQT: Sheikh Ali Juma Mpwani Alqadiriy
19 Jul 2026
JZQT inafuraha kumtambulisha rasmi Sheikh Ali Juma Mpwani Alqadiriy kama Mlezi mpya wa Jumuiya.
Soma ZaidiTaarifa ya Msiba: Kuondokewa na Mlezi Sheikh Sayyid Othman bin Abdulqadir Albarawiy Alqadiriy
19 Jun 2026
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un. JZQT inatangaza kuondokewa na Sheikh Mlezi wetu mpendwa, Marehemu Sheikh Sayyid Othman bin Abdulqadir Albarawiy Alqadiriy.
Soma ZaidiManeno Muhimu ya Ki-Twariqa
Bofya kila kichwa hapa chini kusoma maelezo zaidi.
Changia Jumuiya
Ujenzi wa Msikiti Mpya - Kinondoni
Tunachangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa msikiti mpya utakaohudumia jamii ya Kinondoni. Kila mchango wako una thamani...
TZS 18,501,000 kati ya TZS 50,000,000
Changia SasaMsaada wa Elimu kwa Watoto Yatima
Mchango huu utasaidia ada na vifaa vya shule kwa watoto yatima wanaotambuliwa na Jumuiya.
TZS 6,200,000 kati ya TZS 15,000,000
Changia SasaMisikiti na Mali Zetu